Hatari: Lori la mafuta laanguka Kimara Mwisho na kuziba njia
Hapa Kimara Mwisho kuna lori la mafuta limengika kama dk 5 zilizopita. watu wanachangamkia kuchukua mafuta.
Updates (0922): Polisi wamefika. Mafuta kwa sasa yanatiririka kupitia mifereji ya Strabag hadi kwenye eneo la bwana mmoja mpiga tofari anaitwa Shayo. Hapo ndipo watu wanajichotea - wake kwa waume.