ANGEL DI MARIA AELEZA YALIO MSIBU MPAKA KUONDOKA MADRID SOMA UJUE SABABU

KISIWA CHA BURUDANI | 12:19 AM | 0 comments

MAJONZI: BARUA YA ANGEL DI MARIA YAWALIZA REAL MADRID..SOMA ZAIDI HAPA!

Written By Jo Cyberspace on Wednesday, 27 August 2014 | 22:14

Kiungo mshambuliaji mpya wa Manchester United, Angel Di Maria ameandika barua iliyowasikitisha wachezaji na mashabiki wa Real Madrid.

Di Maria ambaye ametua Man United kwa dau la pauni milioni 60 ambalo ni rekodi England, amesema hakupanga kuiacha timu hiyo ya Hispania. 
Mashabiki waliochangia kwenye mtandao wa Twitter wameelezwa kusikitishwa na barua hiyo huku wakiamini siku moja, Di Maria atarejea tena katika klabu yao. 

Amesema wakati anakwenda kwenye Kombe la dunia baada ya kutwaa ubingwa wa Ulaya ‘La Decima’ akiwa na Madrid, alitarajia kurudi na kuendelea na kazi yake.
“Hata hivyo kuna mambo yalijitokeza, yakiwemo ya mshahara wangu na sasa natarajia kuyapata Manchester United, moja ya klabu kubwa duniani na nina imani nitaweka historia pale,” alieleza katika sehemu ya barua hiyo.


Di Maria ameeleza atakavyowakumbuka wachezaji wengi wa Madrid na maisha yao kwa ujumla.Tayari Muargentina huyo amemalizana na Man United na baadhi ya wachezaji wa Madrid kama Cristiano Ronaldo na Sergio Ramos, hawakutaka aondoke.

HIZI NDIZO MOVE ZILIZO TAMBA SANA DUNIANI HEBUJIONEE................................................

KISIWA CHA BURUDANI | 10:25 PM | 0 comments

DUNIA IMEISHA JAMANI ONA VIDEO HII UJUE KWELI ..............................................

KISIWA CHA BURUDANI | 1:56 PM | 0 comments
: KAMA UNAHISI USHAWAHI KUONA VIDEO CHAFU, BASI HUJA...: Kuna video ambazo kweli zingekuwa zinatengenezwa hapa kwetu tzee, ungekuta serikali imeshazifungia, hii ni kutokana na maad...

HATARI WANAFUNZI WAFANYA NGONO DARASANI INDIA..............JIONEE VIDEO YAO

KISIWA CHA BURUDANI | 12:01 PM | 0 comments

BAIKOKO HATARI SANA ONA KUFURU YAO YA MWAKA

KISIWA CHA BURUDANI | 3:58 AM | 0 comments

MKE WA MTU KUMBE MTAMU ONA HII VIDEO JAMAA AKIJILIA TARATIBU URODA HATARIIII..........

KISIWA CHA BURUDANI | 3:56 AM | 0 comments

DUNIA IMEISHA ONA HII VIDEO JINSI DADA ZETU WANAVYO JIZALILISHA

KISIWA CHA BURUDANI | 3:54 AM | 0 comments

LAANA ONA MSANII WA BONGO AKICHEZA UCHI WA MNYAMA NOOOMA SAAAAANA

KISIWA CHA BURUDANI | 3:49 AM | 0 comments

LAANA HII!!! TAZAMA VIDEO YA BAIKOKO TANGA WAKIMWAGA RADHI

KISIWA CHA BURUDANI | 3:48 AM | 0 comments

WANAWAKE WACHEZA WAKIWA UCHI WA MNYAMA KWENYE KIGODORO (sherehe za uswazi)

KISIWA CHA BURUDANI | 12:31 AM | 0 comments

https://wwwVIDEO YA NYOKA MKUBWA NA HATARI SANA ...... .youtube.com/watch?v=yfdCiwzhNN0&list=PLu03VTrb5fmYRtsv8leFHpMmrDWiVScv1&feature=player_embedded

KISIWA CHA BURUDANI | 10:04 PM | 0 comments
https://www.youtube.com/watch?v=yfdCiwzhNN0&list=PLu03VTrb5fmYRtsv8leFHpMmrDWiVScv1&feature=player_embedded
diving-huge-snake

HUYU NDIE NYOKA MKUBWA KULIKO WOTE JIONEE PICHAZAKE..............................

KISIWA CHA BURUDANI | 9:56 PM | 0 comments
diving-huge-snake  

massive-20-foot-snakegreen-anaconda-river
Franco-Banfi-Giant-Anaconda-Divercaught-camera-snake

matokeo ya ya mpira uefa qulification

KISIWA CHA BURUDANI | 9:32 PM | 0 comments

Besiktas 0 - 0 Arsenal
FT FC Koebenhavn 2 - 3 Bayer Leverkusen
FT SSC Napoli 1 - 1 Athletic Bilbao
FT Salzburg 2 - 1 Malmo FF
FT Steaua Bucuresti 1 - 0 PFC Ludogorets Razgrad
England - Championship August 19
FT AFC Bournemouth 1 - 2 Nottingham Forest
FT Birmingham City 2 - 2 Ipswich Town
FT Blackpool 1 - 2 Brentford
FT Cardiff City 1 - 0 Wigan Athletic
FT Charlton Athletic 3 - 2 Derby County
FT Leeds United 0 - 2 Brighton & Hove Albion
FT Norwich City 3 - 1 Blackburn Rovers
FT Rotherham United 0 - 2 Watford
FT Sheffield Wednesday 1 - 1 Millwall
FT Bolton Wanderers 1 - 2 Middlesbrough
FT Reading 1 - 2 Huddersfield Town
England - League 1 August 19
FT Peterborough United 1 - 2 Sheffield United
FT Bristol City 0 - 0 Leyton Orient
FT Chesterfield 0 - 1 Milton Keynes Dons
FT Coventry City 2 - 2 Barnsley
FT Crawley Town 1 - 3 Bradford City
FT Crewe Alexandra 2 - 5 Rochdale
FT Doncaster Rovers 1 - 1 Preston North End
FT Gillingham 2 - 2 Swindon Town
FT Notts County 2 - 1 Colchester United
FT Oldham Athletic 1 - 1 Port Vale
FT Scunthorpe United 0 - 2 Fleetwood Town
FT Walsall 1 - 2 Yeovil Town
England - League 2 August 19
FT Burton Albion 1 - 0 Exeter City
FT Cheltenham Town 0 - 0 Carlisle United
FT Hartlepool United 0 - 2 Dagenham & Redbridge
FT Luton Town 1 - 1 Bury
FT Mansfield Town 1 - 0 Newport County
FT Morecambe 1 - 0 Oxford United
FT Plymouth Argyle 1 - 1 Stevenage
FT Portsmouth 2 - 0 Northampton Town
FT Shrewsbury Town 4 - 0 Accrington Stanley
FT Southend United 0 - 1 AFC Wimbledon
FT Wycombe Wanderers 0 - 2 Tranmere Rovers
FT York City 2 - 2 Cambridge United
England - Conference South August 19
FT Gosport Borough 1 - 1 Maidenhead U
Spain - Super Cup August 19
FT Real Madrid 1 - 1 Atletico Madrid
Germany - Regionalliga Bayern August 19
FT FC Schweinfurt 0 - 0 Bayern Munich II
Scotland - Challenge Cup August 19
FT Brora Rangers 2 - 3 East Fife
FT Brechin City 0 - 2 Peterhead
FT Dunfermline Athletic 1 - 2 Falkirk
AET Morton 5 - 2 Berwick Rangers
FT Stirling Albion 1 - 2 Alloa Athletic
FT Stranraer 2 - 1 Albion Rovers
International - Club Friendlies August 19
FT Hellas Verona 1 - 1 Shakhtar Donetsk
FT Roma 3 - 3 Fenerbahce
Sweden - Superettan August 19
FT IFK Varnamo 2 - 0 Joenkoeping S.
Wales - League Cup August 19
FT Caersws FC 3 - 5 Llandudno
FT Porthmadog FC 0 - 2 TNS
Czech Republic - Cup August 19
FT Zizkov 2 - 1 Jihlava
Russia - 2nd Division:: east August 20
01:30 FC Chita ? - ? Dinamo Barnaul
02:30 Baikal Irkutsk ? - ? Metallurg Novokuznetsk
Slovenia - Cup August 19
FT Tabor 2 - 0 Aluminij
Estonia - Premium liiga August 19
FT JK Sillamae Kalev 3 - 0 FC Infonet
FT Paide Linnameeskond 1 - 1 Nomme JK Kalju
FT Trans Narva 2 - 2 Johvi FC Lokomotiv
FT Tammeka 1 - 1 Flora Tallinn
Estonia - Cup August 19
FT Tallinna Charma 2 - 11 Tallinna Ulikool
FYR Macedonia - Cup August 19
FT 11 Oktomvri 0 - 9 Shkupi
South America - Copa Sudamericana August 19
FT Rentistas 0 - 2 Cerro Porteno
FT Universitario 2 - 0 Deportes Iquique
FT Aguilas Doradas 1 - 1 Emelec
FT Universidad Catolica 1 - 1 Deportivo Anzoategui
FT Huachipato 3 - 1 San Jose
Argentina - Copa Argentina August 19
FT Instituto 0 - 1 Club Atletico Estudiantes
Brazil - Serie B August 19
FT America RN 0 - 2 Ponte Preta
FT Ceara 1 - 2 ABC
FT Joinville 2 - 1 Boa Esporte Clube
FT Nautico 3 - 2 Oeste FC
FT Parana Clube 1 - 0 Icasa
FT Sampaio Correa 0 - 0 Santa Cruz
FT America MG 2 - 0 Luverdense
FT Bragantino 2 - 1 Atletico GO
FT Portuguesa 1 - 3 Avai FC
FT Vila Nova 2 - 1 Vasco da Gama
Venezuela - Liga Movistar:: apertura August 19
Postp. Carabobo FC ? - ? Anzoategui
CONCACAF - Champions League:: group 2 August 19
FT Real Esteli FC 1 - 1 Sporting Kansas City
CONCACAF - Champions League:: group 5 August 19
FT Alpha United 1 - 4 Portland Timbers
CONCACAF - Champions League:: group 6 August 19
FT Chorrillo FC 1 - 0 Cruz Azul
CONCACAF - Champions League:: group 8 August 19
FT CF America 6 - 1 Bayamon FC
Mexico - Copa MX:: apertura group 1 August 19
FT Tigres 2 - 0 Irapuato
Mexico - Copa MX:: apertura group 2 August 19
FT Santos 3 - 0 Correcaminos de la UAT
Mexico - Copa MX:: apertura group 3 August 19
FT Deportivo Tepic 0 - 0 Tijuana
Mexico - Copa MX:: apertura group 4 August 19
FT Mineros de Zacatecas 1 - 2 Atlas
FT Leones Negros U. de G. 1 - 0 Dorados
Mexico - Copa MX:: apertura group 5 August 19
FT Celaya 2 - 2 Morelia
Mexico - Copa MX:: apertura group 6 August 19
FT Toluca 3 - 2 Atlante
FT Merida FC 2 - 1 Pumas
Mexico - Copa MX:: apertura group 7 August 19
FT Jaguares 0 - 0 Alebrijes Oaxaca
Asia - Champions League:: play-off August 19
FT Al-Ain 2 - 0 Al Ittihad
FT Al Hilal 1 - 0 Al-Sadd
August 20
02:30 Western Sydney Wanderers FC ? - ? Guangzhou Evergrande
03:30 Pohang Steelers ? - ? FC Seoul
Asia - AFC Cup:: play-off August 19
FT Ninh Binh 2 - 4 Kitchee FC
FT Ha Noi TT 0 - 1 Arbil
FT Al Qadsia 1 - 1 Al Hadd
FT Kuwait SC 3 - 2 Persipura Jayapura
Japan - Cup August 20
03:00 Albirex Niigata ? - ? V-Varen Nagasaki
03:00 Cerezo Osaka ? - ? Kataller Toyama
03:00 FC Tokyo ? - ? Matsumoto Yamaga
03:00 Gamba Osaka ? - ? Tokushima Vortis
03:00 Kashiwa Reysol ? - ? JEF United Chiba
03:00 Kawasaki Frontale ? - ? Ehime FC
03:00 Nagoya Grampus Eight ? - ? Kyoto Sanga FC
03:00 Nara Club ? - ? Jubilo Iwata
03:00 Omiya Ardija ? - ? Shonan Bellmare
03:00 Sagan Tosu ? - ? Oita Trinita
03:00 Sanfrecce Hiroshima ? - ? Mito Hollyhock
03:00 Shimizu S-Pulse ? - ? Consadole Sapporo
03:00 Sony Sendai ? - ? Montedio Yamagata
03:00 Urawa Red Diamonds ? - ? Thespa Kusatsu
03:00 Ventforet Kofu ? - ? Kwansei Gakuin
03:00 Yokohama F.Marinos ? - ? Giravanz Kitakyushu
Singapore - S.League August 20
04:30 Warriors FC ? - ? Courts Young Lions
Thailand - Premier League August 20
04:00 Army United ? - ? Suphanburi FC
04:00 Chainat FC ? - ? Bangkok Glass
04:00 Singhtarua FC ? - ? Songkhla United FC
Iran - Pro League August 19
FT Padideh FC 1 - 0 Teraktor Sazi
FT Gostaresh Foolad FC 1 - 0 Peykan
FT Naft Tehran 3 - 0 Sepahan
FT Zob Ahan 2 - 2 Rah Ahan
FT Esteghlal 3 - 2 Saipa
FT Saba Qom 2 - 0 Naft Masjed Soleyman FC
FT Foolad Khuzestan 1 - 0 Esteghlal Khuzestan
Australia - FFA Cup August 19
FT Hakoah Sydney City East 1 - 2 Palm Beach Sharks
FT Stirling Lions 0 - 4 Brisbane Roar FC
August 20
02:30 South Coast Wolves ? - ? Central Coast Mariners
04:30 Bayswater City ? - ? Melbourne Victory
Africa - Kagame Cup:: play-off August 19
AP Police FC * 9 - 8 Atletico Olympic
AET APR FC * 2 - 2 Rayon Sport
South Africa - Premier League August 19
FT Kaizer Chiefs 1 - 0 Bloemfontein Celtic
FT Polokwane City 1 - 2 Ajax Cape Town
Tunisia - Ligue I August 19
FT CS Hammam-Lif 0 - 1 Zarzis
FT JS Kairouanaise 1 - 1 Esperance

PAPA FRANCES AMRUHUSU PADRI KUOWA................SOMA ZAIDI UJUE SABABU

KISIWA CHA BURUDANI | 12:56 PM | 0 comments

APA FRANCIS AMRUHUSU PADRI WA JIMBO LA MOSHI KUOA!

Written By Jo Cyberspace on Tuesday, 19 August 2014 | 20:20


Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis.
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekubali kumuondolea sakramenti ya upadri, Padri Raymond Mosha wa Jimbo Katoliki la Moshi ikiwa ni miaka 20 tangu padri huyo aombe kujiondoa kwenye daraja hilo. 

Barua ya uamuzi wa Papa Francis ilisomwa Jumapili ya juzi katika parokia na vigango vyote vya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi wakati wa ibada za Jumapili zilifanyika katika makanisa ya jimbo hilo.

Miongoni mwa parokia ambazo barua hiyo ilisomwa ni Parokia ya Karanga ambako Paroko wake, John Matumaini alitoa tangazo hilo katika ibada zote. Uamuzi huo ambao ni nadra sana kutolewa na Papa, unamaanisha kuwa sasa hivi padri huyo yuko huru kuoa na kuwa na familia kama Wakristo wengine. 

Hata hivyo, wakati uamuzi huo ukitangazwa rasmi juzi, tayari Padri Mosha ambaye ni profesa wa falsafa na maadili katika Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Arusha, ana mke na watoto watatu ambao kwa sasa wako vyuo vikuu.
Padri Mosha alisema aliandika barua kuomba kuondolewa daraja hilo mwaka 1994 kabla ya uamuzi kutolewa juzi.
Katika orodha ya mapadre 185 wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi iliyopo katika tovuti ya jimbo hilo, jina la Padri Mosha linaonekana likiwa ni namba 23. 

Akizungumzia hatua hiyo, Padri Mosha alisema: “Ninafurahi kufunguliwa kifungo hiki na hii itanifanya niishi kama Mkristo. Kwa vile hawajaniondolea sifa ya kutoa huduma kama vile ibada za mazishi, sakramenti ya mwisho na ubatizo, nitaendelea kutoa kwa wahitaji kwa sababu ninaupenda ukristo.

“Nashukuru sasa nimekuwa muumini wa kawaida nitaweza kufunga ndoa kanisani kwa kuwa nilikuwa nimefunga ndoa ya kisheria tu kwa DC.” 

Kuhusu kwa nini aliamua kuacha upadri, Profesa Mosha alisema ni baada ya kufanya kazi hiyo kwa miaka 20 na akaona ipo haja ya kuwa na familia lakini kanisa lilikuwa haliruhusu.
“Sasa kwa kuwa kanisa haliruhusu mapadri kuoa ndiyo maana nikaamua kuandika barua ambayo hata hivyo, imechukua muda mrefu kujibiwa na tayari nina watoto watatu wako chuo kikuu."
 
Copyright © 2011. KISIWA CHA BURUDANI - All Rights Reserved